Wednesday, December 24, 2014

FLASHING HUAWEI E303 Hi Link ( KISWAHILI )

Hi Link modems  ukishaiplug in tu inaconnect internet unless umeiset kuiconnect manually. Hazitumii normal Huawei dashboard zinatumia their own “Web UI” hivyo haziwezi kuwa detected kwenye normal dashboard za Huawei. Na hata ukiiconnect kwenye PC, jamaa wanakuwa wamedisable PORT na hutaweza kuiona ktk device manager under Ports, Modems or Network adapter, so ukisema uiunlock kwa kutumia Flashing method kama za E303 za kawaida hautafanikiwa.

NJIA YENYEWE
Vodacom Huawei E303 Hi link modem ni customized Firmware so njia pekee ya kuiunlock ni kwa ku flash.

REQUIREMENTS
Maelezo ninayotoa ni kwa ajili ya PC tu, na vitu vinavyoihitajika ni
  • Huawei Mobile Partner (Version ya hivi karibuni)  Lazima iwe installed kama hauna download HAPA
  • Huawei E303 Hi Link Firmware nenda HAPA kudownload
  • Important softwares (Terminal na Universal MasterCode) nenda HAPA kudownload
Note:
Password kwa link zote ni ‘gkiwango’ bila quotes.


KUFANYA MODEM IWEZE KUONYESHA PORTS
Ili kuweza kuiflash modem, inabidi kuifanyia trick ili modem iweze kuonesha ports ambazo inatumia katika pc. Unachotakiwa kufanya tembelea hii link http://192.168.1.1/html/switchProjectMode.html , Utakopovisit hiyo link modem ita disconnect na kuconnect tena, na PORTS zitakuwa ENABLED.
Sasa PC ita detect two unknown devices (Huawei HiLink x2) maana windows inakuwa haifahamu driver za kutumia kwa hizo devices.

windows inakuwa haifahamu driver za kutumia kwa hizo devices.
Hizo device mbili zitakuwa na hardware ID hizi

USB\Vid_12d1&Pid_1442&MI_00
USB\Vid_12d1&Pid_1442&MI_01

Hizo drivers zinapatikana kwenye
Mobile Partner, sema zinatakiwa kufanyiwa modification kidogo ili ziweze kufanya kazi na Huawei HiLink.
Hii proces inafanywa mara moja, otherwise kama uta unistall Mobile Partner ndo itakubidi urudie tena.
Nenda kwenye Mobile Partner na u-locate hili file “ewser2k.inf”, linapatikana kwenye

C:\Program Files\Mobile Partner\Driver\Driver\X86 kwa 32 Bit au C:\Program Files (x86)\Mobile Partner\Driver\Driver\X64 kwa 64 Bit

Scroll mpaka kwenye [QcomSerialPort...] na uongeze hizi lines

%QcomDevice01% = QportInstall01, USB\VID_12d1&PID_1442&MI_00
%QcomDevice00% = QportInstall00, USB\VID_12d1&PID_1442&MI_01

Hii ni kufanya windows iweze kujua driver zipi za kutumia kwenye zile device zetu. Na sehemu nzuri ya kuweka hizo lines ni katikati ya PID_143E & PID_1448, na itakuwa kama hivi


Baada ya hapo sasa rudi kwenye Device Manager na kwa kila device fanya ku-update driver zake, na ubrowse kwenye location ya “ewser2k.inf”. Baada ya hapo device zetu zitaonekana na ports zao ie, 3G PC UI Interface & 3G Application Interface ila hutaweza ku connect na internet.


KUFANYA HiLink MODEM I DIAL KAMA MODEM ZA KAWAIDA
Fungua “Terminal” na ufungue port ya 3G PC UI Interface na send hizi AT Commands kwenda kwenye modem……

AT^U2DIAG=119
AT+CFUN=4
AT+CFUN=6
Note:
  • Kama modem Ports zitapotea, nenda kwenye ile link tuliyotumia kule juu      na zitaonekana tena zikiwa na  drivers installed.
  • Hii sehemu si muhimu coz tunaenda kui flash modem so unaweza  kuiruka

FLASHING THE Hi Link MODEM
Kwa vile modem yetu imeshaweza kusoma ports, Inakuwa rahisi kuiflash
Fungua Universal MasterCode na tafuta Flash code(password) kwa kutumia IMEI ya modem yako.
Sasa cha kufanya run Huawei HiLink Firmware kama kawaida tu, na tumia  flash code kama password yako

Subiri imalize hadi iandike SUCCESSFUL

HITIMISHO
Huawei HiLink modem is permanently unlocked na utaweza ku iconnect kwa kutumia normal Huawei dashboard ingawa yenyewe haitakuwa na dashboard sababu pamoja na process zote ulizofanya itabakia kuwa HiLink Modem!!

IMPORTANT
  • Hii method imetumika ku flash modem zaidi ya moja ya Vodacom Tanzania Huawei E303 Hi Link.
  • FEEDBACK ni muhimu.
  • Sitahusika na uharibifu wowote utakaotokea.
Tatizo lolote just COMMENT utasaidiwa.

5 comments:

  1. hello,
    Mimi nina huawei E303 Hi link ya airtel, nimejaribu kufatilia maelekezo yako lkn naona nimekwama. Nimejaribu kuifungua iyo link ya kuitrick modem ili nijue port yake lkn NOTHING HAPPENS. ss iyo njia ni ya kwa ajili ya huawei E 303 za vodacom(HI link) tu au kuna jingne amblo itakua cjalikamilisha (nimefata maelekezo yote)

    ReplyDelete
  2. nitashukuru sana kwa msaada utaonipatia

    ReplyDelete
  3. asee thanks bro, nlihangaika hadi nkajutia elfu kumi yangu nliyotumia kununua modem ila baada ya kufuata all the procedures nimefanikiwa.. may god bless u

    ReplyDelete
  4. Msaada jamani juu ya hilo.Nimeangaika lakini sijafanikiwa

    ReplyDelete